Mfumo wa Usimamizi wa Shule (Diotech)
Ingia kwenye Mfumo
Usimamizi Kamili wa Shule
Diotech inatoa suluhisho kamili la kusimamia mambo yote ya usimamizi, masomo na mawasiliano ya shule.
Usimamizi wa Shule
Usimamizi kamili wa shule ukiwemo usajili wa wanafunzi, usimamizi wa wafanyakazi, Mawasiliano ya wazazi wa wanafunzi kupitia njia ya meseji
Utengenezaji wa Matokeo
Utengenezaji wa kiautomatiki wa matokeo na hesabu ya alama, nafasi, na uchambuzi wa kina.
Uundaji wa Ripoti
Kutoa ripoti kamili zikiwemo kadi za matokeo za wanafunzi na uchambuzi wa shule.
Mfumo wa SMS
Kutuma ujumbe wa SMS kwa wingi kwa wazazi mmoja mmoja, kwa darasa au wote, wafanyakazi taarifa muhimu na matokeo ya mwanafunzi.
Maendeleo ya Mwanafunzi
Fuatilia utendaji wa mwanafunzi kupitia tathmini za endelea na rekodi za mahudhurio.
UTengenezai wa matokeo kupitia walimu wa masomo
Kila mwalimu kutengeneza matokeo kulingana na masomo anayofundisha kwa kila darasa na kupitia maendeleo ya somo husika tokea wanafunzi waanze shule
Mtaalamu wa Mfumo
Karibu Diotech
Ingia kwa kutumia jina lako la mtumiaji na nenosiri